Posts

Showing posts from February, 2017
Image
Habari wapenzi wasomaji wangu. Ni matumaini yangu mu wazima afya na mnaendelea vyema kulisongesha mbele gurudumu la maisha. Napenda kuwajuza mkae mkao wa kusubiria asali kutoka kwenye mzinga wa nyuki kwani yapo mambo mengi mazuri ya kuzikonga na kuzisuuza roho zenu yatakujia kupitia blog hii maridhawa ya Harakati za Kundi . Hivyo, nichukue fursa hii maalum kuwaalika mara kwa mara muwe mnatembelea blog yangu, nami sitawaangusha!